Jumapili 28 Juni 2026 - 09:45
Nairobi Yaungana Kumuenzi Imam Hussein (as) katika Maadhimisho Makubwa ya Ashura + Picha

Hawza/ Hali ya huzuni na majonzi ilitawala jijini Nairobi, Kenya, ambapo waumini wa Ahlul-Bayt (as) walikusanyika kwa wingi kushiriki kikao cha maombolezo ya Siku ya Ashura 1448 H, (2026), huku wakihuisha kumbukumbu ya shahada ya Imam Hussein (as), mjukuu wa Mtume Muhammad (saww), aliyeuawa kwa dhuluma katika ardhi ya Karbala pamoja na familia yake na masahaba wake waaminifu.

Kwa Mujibu wa Shirika la Habari la Hawza, Kikao hicho kilijumuisha usomaji wa Qur'ani Tukufu, mihadhara ya kidini, nawha na nyimbo za maombolezo, ambapo washiriki walionesha mapenzi yao kwa Ahlul-Bayt (as) kwa kushiriki kwa unyenyekevu na majonzi makubwa.

Nairobi Yaungana Kumuenzi Imam Hussein (as) katika Maadhimisho Makubwa ya Ashura + Picha

Nairobi Yaungana Kumuenzi Imam Hussein (as) katika Maadhimisho Makubwa ya Ashura + Picha

Nairobi Yaungana Kumuenzi Imam Hussein (as) katika Maadhimisho Makubwa ya Ashura + Picha

Nairobi Yaungana Kumuenzi Imam Hussein (as) katika Maadhimisho Makubwa ya Ashura + Picha

Nairobi Yaungana Kumuenzi Imam Hussein (as) katika Maadhimisho Makubwa ya Ashura + Picha

Nairobi Yaungana Kumuenzi Imam Hussein (as) katika Maadhimisho Makubwa ya Ashura + Picha

Nairobi Yaungana Kumuenzi Imam Hussein (as) katika Maadhimisho Makubwa ya Ashura + Picha

Lebo

Maoni yako

You are replying to: .
captcha